Kwa kutumia teknolojia za kisasa zilizo rafiki kwa watumiaji wote na wahudumu wenye uweledi, kitengo kitawahudumia wakulima wa aina mbalimbali kwa mahitaji yao ya taarifa na habari pamoja na kusambaza taarifa hizo katika namna ambayo itawafikia wakulima wengi ndani na nje ya nchi